naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 1

Kamilisha salamu z z z vilivyo

From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo haya kati ya Mwema na Gakuo kisha ujibu maswali 1 hadi 5

MADA: TABIA NZURI NI NGAO

Gakuo na Mwema wamekutana barabarani kila mtu akielekea zake. (Gakuo amebeba gunia lenye vitu na Mwema amebeba jembe)

Mwema: Shikamoo Gakuo.
Gakuo: z z z
Mwema: Natoka shambani kulima. Je, waelekea wapi jioni?
Gakuo: Naelekea kanisani kusali.
Mwema: Ala! Kanisa lipi saa hii? Umebeba nini kwenye gunia?
Gakuo: Uko na maswali mengi, kwani wewe ni polisi? Nimebeba vitabu vya Bibilia (mara jogoo anawika kutoka kwa gunia)
Mwema: Ala! Mbona unadanganya. Hebu nivione. Huyu sio yule jogoo wa jirani yangu aliyeibiwa leo usiku. Wacha nipigie polisi. (Gakuo anatimua mbio na kupotea)

Mchoro wa wanaume wawili barabarani, mmoja amebeba jembe na mwingine gunia

1. Kamilisha salamu z z z vilivyo

  1. Aasante
  2. Bmarahaba
  3. Cpoa
  4. Dkwa heri

Answer

B. marahaba

Salamu "Shikamoo" hujibiwa kwa "Marahaba". Hii ni salamu ya heshima kwa mtu mkubwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test