CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Kanusha. Mkulima analima
From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
29. Kanusha.
Mkulima analima
- ATutalima
- BMkulima halimi
- CAtalima
- DWakulima wanalima
Answer
B. Mkulima halimi
Analima → halimi: tunatumia ha- mwanzoni na -i mwishoni.