CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26
Andika wingi. Embe
From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
26. Andika wingi.
Embe
- AMaembe
- BTamu
- CViembe
- DEmbe
Answer
A. Maembe
Wingi wa "embe" ni "maembe" (ngeli ya LI-YA).