CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025: Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8)
Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 33 questions
Topics: Kusoma, Fasihi, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 33 questions with answers
- Question 1: Je, ni kweli kusema binadamu wote wanakubaliana kwa kauli moja kuwa wimbo Fulani ndio bora? (Ndio au La) (al 1)Answer: La.
- Question 2: Mwandishi ameuliza maswali mangapi yanayohusiana na muziki katika aya ya kwanza? (al 1)Answer: Manne.
- Question 3: Unafikiria ni kwa nini mwandishi amesema video nyingine zilitolewa katika ghala la shetani? (al 1)Answer: Kwa sababu video hizo zina maudhui mabaya yasiyozingatia maadili ya jamii.
- Question 4: Mwisho mwandishi anapendekeza nini kuhusu utunzi wa nyimbo? (al 1)Answer: Nyimbo zitungwe kwa kuzingatia maadili ya jamii.
- Question 5: Mwisho mwandishi anapendekeza serikali na wazalendo wote wafanye nini? (al 1)Answer: Wapige marufuku nyimbo zisizozingatia maadili wala kuleta faida kwa jamii.
- Question 6: Taja faida mbili za vile tarakilishi imechangia katika ukuaji wa Uchumi. (al 2)Answer: Imeboresha biashara, na imerahisisha mawasiliano.
- Question 7: Taja njia mbili za vile tarakilishi imeundwa kuiga Mungu. (al.2)Answer: Hutuma ujumbe na kuhifadhi kumbukumbu.
- Question 8: Taja hasara ambayo imeletwa na kompyuta. (al.1)Answer: Watu wengi wameachishwa kazi kwa sababu mfanyikazi mmoja anafanya kazi za watu wengi.
- Question 9: Taja aina mbili za fasihi. (al.2)Answer: Fasihi simulizi na fasihi andishi.
- Question 10: Nyimbo zinazoimbiwa Watoto watulie au walale huitwaje? (al.1)Answer: Bembea (nyimbo za kubembeleza).
- Question 11: Katika fasihi, kuna maudhui ambayo ni maswala mbalimbali yanayopatikana kwenye novela na yanayaathiri jamii kwa njia moja au nyingine.…Answer: Upendo na ukatili.
- Question 12: a) Kile , pale, huu, hiviAnswer: Vivumishi vya ishara (vionyeshi).
- Question 13: b) Safi, Hodari, kubwa, mzuriAnswer: Vivumishi vya sifa.
- Question 14: c) Yangu, yetu, kwake, vyaoAnswer: Vivumishi vya umilikishi (vimilikishi).
- Question 15: a) Wanafunzi walisoma kuhusu utunzaji wa msitu (wakati uliopo)Answer: Wanafunzi wanasoma kuhusu utunzaji wa msitu.
- Question 16: b) Mwariadha anashiriki katika mashindano ya riadha.(wakati ujao)Answer: Mwariadha atashiriki katika mashindano ya riadha.
- Question 17: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 14.Answer: B. kukata
- Question 18: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 15.Answer: B. nzima
- Question 19: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 16.Answer: A. inaendelea
- Question 20: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 17.Answer: A. kinazidi
- Question 21: Chagua jibu sahihi kujaza pengo 18.Answer: B. kokote
- Question 22: Kamilisha methali: Kidole kimoja ……………… (al.1)Answer: Kidole kimoja hakivunji chawa.
- Question 23: a) Alama ya kiulizi hutumika kuonyesha mshangaoAnswer: B. La
- Question 24: b) Alama ya kituo hutumika mwishoni mwa sentensiAnswer: A. Kweli
- Question 25: i. dhAnswer: Dhahabu ni madini ya thamani.
- Question 26: ii. thAnswer: Elimu ina thamani kubwa.
- Question 27: Taja nomino mbili za pekee. (al.2)Answer: Kenya, Nairobi.
- Question 28: i. Ungalimeza dawa maumivu yangalipungua.Answer: Usingalimeza dawa maumivu yasingalipungua.
- Question 29: ii. Tukiishi kwa amani tutapata maendeleo.Answer: Tusipoishi kwa amani hatutapata maendeleo.
- Question 30: Usafi wa kibinafsi ni muhimu. Taja shughuli mbili za kudumisha usafi wa mwili na mazingira. (al.2)Answer: Kuoga mara kwa mara, na kutupa taka katika sehemu husika.
- Question 31: Jaza nafasi kwa mnyambuliko wa vitenzi unaofaa. (al.2) (a) Bandika – kauli ya kutendua: ……………… (b) Tega – kauli ya kutendeana: ………………Answer: (a) Bandua (b) Tegana
- Question 32: Baada ya kuongea sana, waliagana bila kujua watakutana lini tena. Mmoja alisema ……………… na mwezake akamjibu ……………… (al.2)Answer: Mmoja alisema, "Kwa heri ya kuonana," na mwenzake akamjibu, "Kwa heri ya kuonana nawe pia."
- Question 33: D. INSHA Mwandikie Rafiki yako barua ya kirafiki ukimwalika katika sherehe ya kukumbuka siku uliyozaliwa (al.10)Answer: S.L.P. 45, KAKAMEGA. 10 Juni 2025. Mpendwa rafiki yangu Amani, Pokea salamu nyingi kutoka kwangu. Natumai u…