CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 21
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 18.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa. (al.1)
____14_____ (ukataji, kukata) miti ovyoovyo kumeliletea taifa matatizo chungu __15__ (mzima, nzima). Mvua ___16___ (inaendelea, unaendelea) kupungua nacho kiwango cha joto ___17___ (kinazidi, inazidi) kupanda. Mmomonyoko wa udongo umeharibu ukulima wetu ___18___ (popote, kokote) tuliko.
18. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 18.
- Apopote
- Bkokote
Answer
B. kokote
"Tuliko" kina -ko- ya mahali pasipo dhahiri, kwa hivyo ni "kokote tuliko" ("popote" huenda na "tulipo").
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha methali: Kidole kimoja ……………… (al.1)Question 22
- a) Alama ya kiulizi hutumika kuonyesha mshangaoQuestion 23
- b) Alama ya kituo hutumika mwishoni mwa sentensiQuestion 24
- Taja nomino mbili za pekee. (al.2)Question 27
- i. Ungalimeza dawa maumivu yangalipungua.Question 28
- ii. Tukiishi kwa amani tutapata maendeleo.Question 29