CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 28
i. Ungalimeza dawa maumivu yangalipungua.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
23. Kanusha. (al.2)
i. Ungalimeza dawa maumivu yangalipungua.
Answer
Usingalimeza dawa maumivu yasingalipungua.
Kanusha vitenzi vyote viwili: -ngali- huwa -singali-.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- ii. Tukiishi kwa amani tutapata maendeleo.Question 29
- Usafi wa kibinafsi ni muhimu. Taja shughuli mbili za kudumisha usafi wa mwili na mazingira. (al.2)Question 30
- Jaza nafasi kwa mnyambuliko wa vitenzi unaofaa. (al.2) (a) Bandika – kauli ya kutendua: ……………… (b) Tega – kauli ya…Question 31
- Baada ya kuongea sana, waliagana bila kujua watakutana lini tena. Mmoja alisema ……………… na mwezake akamjibu ……………… (al.2)Question 32
- D. INSHA Mwandikie Rafiki yako barua ya kirafiki ukimwalika katika sherehe ya kukumbuka siku uliyozaliwa (al.10)Question 33
- Je, ni kweli kusema binadamu wote wanakubaliana kwa kauli moja kuwa wimbo Fulani ndio bora? (Ndio au La) (al 1)Question 1