CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 30
Usafi wa kibinafsi ni muhimu. Taja shughuli mbili za kudumisha usafi wa mwili na mazingira. (al.2)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usafi
24. Usafi wa kibinafsi ni muhimu. Taja shughuli mbili za kudumisha usafi wa mwili na mazingira. (al.2)
Answer
Kuoga mara kwa mara, na kutupa taka katika sehemu husika.
Usafi wa mwili na wa mazingira.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Jaza nafasi kwa mnyambuliko wa vitenzi unaofaa. (al.2) (a) Bandika – kauli ya kutendua: ……………… (b) Tega – kauli ya…Question 31
- Baada ya kuongea sana, waliagana bila kujua watakutana lini tena. Mmoja alisema ……………… na mwezake akamjibu ……………… (al.2)Question 32
- D. INSHA Mwandikie Rafiki yako barua ya kirafiki ukimwalika katika sherehe ya kukumbuka siku uliyozaliwa (al.10)Question 33
- Je, ni kweli kusema binadamu wote wanakubaliana kwa kauli moja kuwa wimbo Fulani ndio bora? (Ndio au La) (al 1)Question 1
- Mwandishi ameuliza maswali mangapi yanayohusiana na muziki katika aya ya kwanza? (al 1)Question 2
- Unafikiria ni kwa nini mwandishi amesema video nyingine zilitolewa katika ghala la shetani? (al 1)Question 3