naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 31

Jaza nafasi kwa mnyambuliko wa vitenzi unaofaa. (al.2) (a) Bandika – kauli ya kutendua: ……………… (b) Tega – kauli ya kutendeana: ………………

From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Mnyambuliko

VitenziKauli ya kutendeanaKauli ya kutendua
BandikaBandikiana(a) ………
Tega(b) ………Tegua

25. Jaza nafasi kwa mnyambuliko wa vitenzi unaofaa. (al.2)
(a) Bandika – kauli ya kutendua: ………………
(b) Tega – kauli ya kutendeana: ………………

Answer

(a) Bandua (b) Tegana

Kutendua hubadilisha maana kuwa kinyume (-ua); kutendeana huonyesha kitendo cha pande mbili (-ana).

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test