CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 32
Baada ya kuongea sana, waliagana bila kujua watakutana lini tena. Mmoja alisema ……………… na mwezake akamjibu ……………… (al.2)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maagano
30. Baada ya kuongea sana, waliagana bila kujua watakutana lini tena. Mmoja alisema ……………… na mwezake akamjibu ……………… (al.2)
Answer
Mmoja alisema, "Kwa heri ya kuonana," na mwenzake akamjibu, "Kwa heri ya kuonana nawe pia."
Hawajui watakutana lini, kwa hivyo ni kwa heri ya kuonana.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- D. INSHA Mwandikie Rafiki yako barua ya kirafiki ukimwalika katika sherehe ya kukumbuka siku uliyozaliwa (al.10)Question 33
- Je, ni kweli kusema binadamu wote wanakubaliana kwa kauli moja kuwa wimbo Fulani ndio bora? (Ndio au La) (al 1)Question 1
- Mwandishi ameuliza maswali mangapi yanayohusiana na muziki katika aya ya kwanza? (al 1)Question 2
- Unafikiria ni kwa nini mwandishi amesema video nyingine zilitolewa katika ghala la shetani? (al 1)Question 3
- Mwisho mwandishi anapendekeza nini kuhusu utunzi wa nyimbo? (al 1)Question 4
- Mwisho mwandishi anapendekeza serikali na wazalendo wote wafanye nini? (al 1)Question 5