CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 27
Taja nomino mbili za pekee. (al.2)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
Kutoka swali la 19 hadi la 30, jibu sahihi kulingana na maagizo.
22. Taja nomino mbili za pekee. (al.2)
Answer
Kenya, Nairobi.
Nomino za pekee ni majina ya watu, mahali, siku au miezi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- i. Ungalimeza dawa maumivu yangalipungua.Question 28
- ii. Tukiishi kwa amani tutapata maendeleo.Question 29
- Usafi wa kibinafsi ni muhimu. Taja shughuli mbili za kudumisha usafi wa mwili na mazingira. (al.2)Question 30
- Jaza nafasi kwa mnyambuliko wa vitenzi unaofaa. (al.2) (a) Bandika – kauli ya kutendua: ……………… (b) Tega – kauli ya…Question 31
- Baada ya kuongea sana, waliagana bila kujua watakutana lini tena. Mmoja alisema ……………… na mwezake akamjibu ……………… (al.2)Question 32
- D. INSHA Mwandikie Rafiki yako barua ya kirafiki ukimwalika katika sherehe ya kukumbuka siku uliyozaliwa (al.10)Question 33