CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 17
Chagua jibu sahihi kujaza pengo 14.
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa. (al.1)
____14_____ (ukataji, kukata) miti ovyoovyo kumeliletea taifa matatizo chungu __15__ (mzima, nzima). Mvua ___16___ (inaendelea, unaendelea) kupungua nacho kiwango cha joto ___17___ (kinazidi, inazidi) kupanda. Mmomonyoko wa udongo umeharibu ukulima wetu ___18___ (popote, kokote) tuliko.
14. Chagua jibu sahihi kujaza pengo 14.
- Aukataji
- Bkukata
Answer
B. kukata
Kitenzi "kumeliletea" kina kiambishi ku-, kwa hivyo kiima ni "kukata" (ngeli ya KU). "Ukataji" ungehitaji "umeliletea".