naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 16

b) Mwariadha anashiriki katika mashindano ya riadha.(wakati ujao)

From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati

13. Badilisha sentensi hizi ziwe katika nyakati zilizo kwenye mabano. (al.2)

b) Mwariadha anashiriki katika mashindano ya riadha.(wakati ujao)

Answer

Mwariadha atashiriki katika mashindano ya riadha.

Wakati ujao ni -ta-.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test