naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 15

a) Wanafunzi walisoma kuhusu utunzaji wa msitu (wakati uliopo)

From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati

13. Badilisha sentensi hizi ziwe katika nyakati zilizo kwenye mabano. (al.2)

a) Wanafunzi walisoma kuhusu utunzaji wa msitu (wakati uliopo)

Answer

Wanafunzi wanasoma kuhusu utunzaji wa msitu.

Wakati uliopo ni -na-.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test