CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 6
Taja faida mbili za vile tarakilishi imechangia katika ukuaji wa Uchumi. (al 2)
From Kiswahili — Extra-Activity Assessment 2025 (Set 8) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 6 hadi la 8.
Kuwepo kwa tarakilishi kumechangia pakubwa katika kukua kwa Uchumi kibiashara kuboresha, bila kusahau kurahisisha mawasiliano. Kazi zilizofanywa na watu wengi huweza kufanywa kwa kidole kimoja tu.
Zilizochukua siku nyingi zimebaki kufanyika kwa sekunde tu. Hizi ni juhudi za wanasayansi na wahandisi. Miaka imefupishwa na kuwa sekunde, nayo dunia nzima kuwa kitongoji tu. Makabila yakakusanywa Pamoja kuwa kama mlango mmoja wa ukoo.
Kumbuka uundaji wa tarakilishi ni njia ya mwanadamu kumuiga Mungu. Tarakilishi hufanya kazi nyingi. Zikiwemo kutuma ujumbe, kuhifadhi kumbukumbu, kuendesha mipango mbalimbali na kazi nyingine. Kompyuta pia ni kifaa cha burudani. Kina michezo mbalimbali ya kumstarehesha binadamu. Huweza pia kutumika kuonyesha filamu na kuonyesha muziki.
Tarakilishi imezaa madhara makubwa katika jamii. Hivi leo mfanyikazi mmoja, kwa kutumia kompyuta, anafanya kazi za watu wengi, jambo ambalo limesababisha kuachishwa kazi kwa watu wengi.
6. Taja faida mbili za vile tarakilishi imechangia katika ukuaji wa Uchumi. (al 2)
Answer
Imeboresha biashara, na imerahisisha mawasiliano.
Aya za kwanza na pili.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Taja njia mbili za vile tarakilishi imeundwa kuiga Mungu. (al.2)Question 7
- Taja hasara ambayo imeletwa na kompyuta. (al.1)Question 8
- Taja aina mbili za fasihi. (al.2)Question 9
- Nyimbo zinazoimbiwa Watoto watulie au walale huitwaje? (al.1)Question 10
- Katika fasihi, kuna maudhui ambayo ni maswala mbalimbali yanayopatikana kwenye novela na yanayaathiri jamii kwa njia…Question 11
- a) Kile , pale, huu, hiviQuestion 12