CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026: Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14)
Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14) · Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: “Hujambo” ni salamu za wakati upi?Answer: C. Wowote
- Question 2: Tofauti na mazoezi, Ndubi anapaswa kula nini?Answer: D. Lishe bora
- Question 3: Mazoezi husaidia vipi?Answer: A. Husaidia kuimarisha afya ya akili.
- Question 4: Ifuatayo ni mifano ya mazoezi isipokuwaAnswer: A. kulala
- Question 5: Mazungumzo haya yanahusu ?Answer: A. Afya ya mwili
- Question 6: Kijijini kwa kina msimulizi ni wapi?Answer: B. Makueni
- Question 7: Msimulizi alienda kusaidiana huko shambani. Walifanya haya yote ila nini?Answer: B. Kutayarisha chajio
- Question 8: Babu alikuwa akifanya nini wakati msimulizi, ndugu zake na wazazi walipofika?Answer: C. Akila
- Question 9: Chakula cha adhuhuri huitwaje?Answer: D. Chamcha
- Question 10: Chakula walichopewa kilikuwa kitamu. Tunasema tamu kamaAnswer: B. asali
- Question 11: Barua hii iliandikwa muhula gani? Wa___Answer: C. Pili
- Question 12: Ni nani aliyemwandikia mwenzake wa kwanza?Answer: A. Hekima
- Question 13: Tofauti na dini za Waafrika, ni nini kingine kilichukiza na wakoloni katika utamaduni wetu?Answer: D. Chakula.
- Question 14: Ni mifano mingapi iliyotolewa kuonesha kuwa tuna utamaduni mbalimbali nchini Kenya?Answer: A. Tatu
- Question 15: Kwa nini nchi ya Kenya haina utamaduni sawa?Answer: C. Kila jamii inafanya vitu kwa njia mbalimbali.
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo la 16.Answer: A. ni
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo la 17.Answer: B. huleta
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo la 18.Answer: A. Kutupa
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo la 19.Answer: D. katika
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo la 20.Answer: B. Ili
- Question 21: Tegua kitendawili hiki. Anakuangalia tu wala halali au kutembea.Answer: B. Picha
- Question 22: Vumbi liliwafanya wapige ___.Answer: D. chafya
- Question 23: Neno jingine lenye maana sawa na ‘ufukara’ niAnswer: C. Umaskini
- Question 24: Thurea ni kwa nyota kama vile ni ___ kwa magari.Answer: A. Mlolongo
- Question 25: Andika wingi wa; Mwananchi anangoja hotuba ya raisAnswer: A. Wananchi wanangoja hotuba ya rais.
- Question 26: Pete huvaliwa wapi mwilini?Answer: D. Kidoleni.
- Question 27: Sehemu hii ya mwili huitwa aje?Answer: A. Muundi
- Question 28: Teua kielezi katika sentensi ifuatayo. Wema anachora nyumba vizuri.Answer: D. Vizuri
- Question 29: Jibu la ‘Alamsiki’ ni ___.Answer: C. Binuru
- Question 30: Andika ukubwa wa neno ‘Mtu’.Answer: D. Jitu