naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 13

Tofauti na dini za Waafrika, ni nini kingine kilichukiza na wakoloni katika utamaduni wetu?

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 13-15.
Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Yote yanajumlisha ujuzi, imani, sanaa, maadili, sheria na desturi. Nchini Kenya hamna utamaduni wa kila mtu kwa sababu tuna makabila tofauti tofauti. Kwa mfano, kila jamii ina njia tofauti za kujenga nyumba zao. Tunasherehekea kuzaliwa kwa watoto kwa njia mbalimbali na hata kuwapa watoto majina.
Wakoloni walipokuja nchini, hawakupenda tamaduni na dini zetu. Kulingana na wao, Waafrika hawakumwamini Mwenyezi Mungu. Hawakupenda vyakula vyetu, dawa zetu na hata mfumo wa elimu yetu. Hii ilifanya Waafrika kuacha utamaduni wao na kuanza kuiga ya wakoloni.

13. Tofauti na dini za Waafrika, ni nini kingine kilichukiza na wakoloni katika utamaduni wetu?

  1. AWatu
  2. BWatoto
  3. CWazazi
  4. DChakula.

Answer

D. Chakula.

"Hawakupenda vyakula vyetu."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test