naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 3

Mazoezi husaidia vipi?

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1-5.
Bango: Hujambo? Unaendeleaje?
Ndubi: Sijambo. Niko salama. Labda hali ya kwako.
Bango: Niko salama salmini. Kwani nini mbaya na wewe?
Ndubi: Sina mabaya ila nahisi kwamba sina nguvu.
Bango: Inaonekana kuwa hutilii maanani mambo ya afya yako. Je, unafanya mazoezi kila siku?
Ndubi: Unayoyasema ni kweli ndugu yangu. Huwa sifanyi mazoezi.
Bango: Unapaswa kujua kwamba mazoezi ya mwili huimarisha afya ya akili.
Ndubi: Ni kweli, ninakubaliana nawe. Nifanyeje?
Bango: Unachohitajika kufanya ni kuwa unapoamka asubuhi na jioni baada ya kuanza kazi unaweza kujiunga na sisi uwanjani tukimbie tukifanya zoezi. Zaidi ya hayo, usisahau kula chakula chenye afya.
Ndubi: Ninashukuru kwa mawaidha hayo uliyonipa. Tafadhali nipe muda niyatafakari.

3. Mazoezi husaidia vipi?

  1. AHusaidia kuimarisha afya ya akili.
  2. BKukua haraka.
  3. CKulala sana.
  4. DKula sana.

Answer

A. Husaidia kuimarisha afya ya akili.

"Mazoezi ya mwili huimarisha afya ya akili."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test