naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 5

Mazungumzo haya yanahusu ?

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1-5.
Bango: Hujambo? Unaendeleaje?
Ndubi: Sijambo. Niko salama. Labda hali ya kwako.
Bango: Niko salama salmini. Kwani nini mbaya na wewe?
Ndubi: Sina mabaya ila nahisi kwamba sina nguvu.
Bango: Inaonekana kuwa hutilii maanani mambo ya afya yako. Je, unafanya mazoezi kila siku?
Ndubi: Unayoyasema ni kweli ndugu yangu. Huwa sifanyi mazoezi.
Bango: Unapaswa kujua kwamba mazoezi ya mwili huimarisha afya ya akili.
Ndubi: Ni kweli, ninakubaliana nawe. Nifanyeje?
Bango: Unachohitajika kufanya ni kuwa unapoamka asubuhi na jioni baada ya kuanza kazi unaweza kujiunga na sisi uwanjani tukimbie tukifanya zoezi. Zaidi ya hayo, usisahau kula chakula chenye afya.
Ndubi: Ninashukuru kwa mawaidha hayo uliyonipa. Tafadhali nipe muda niyatafakari.

5. Mazungumzo haya yanahusu ?

  1. AAfya ya mwili
  2. BMazoezi
  3. CBango
  4. DChakula

Answer

A. Afya ya mwili

Bango anamshauri Ndubi kuhusu afya ya mwili kupitia mazoezi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test