CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 11
Barua hii iliandikwa muhula gani? Wa___
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma barua ifuatayo kisha ujibu maswali 11-12.
SHULE YA MSINGI YA NGURA,
S.L.P 48734,
KABUNDE.
12-6-2024.
Rafiki yangu, Hekima,
Pokea salamu nyingi kutoka kwangu. U hali gani? Mimi hapa ni mzima. Nina furaha nyingi kukueleza kwamba barua yako nimeipata leo hii.
Nimefurahishwa sana na yale uliyosema. Nimefurahi jinsi ulivyofanya katika mtihani wako wa mwanzo wa muhula huu. Baada ya hayo ningependa kukujulisha kwamba baba yangu amerudi kutoka ng’ambo. Aliniletea zawadi kemkem ambazo zinapendeza. Ukipata nafasi tafadhali nitembelee nikuzawadi na wewe pia. Ni hayo tu kwa sasa. Wasalimie ndugu zako.
Mimi wako,
Nasaha.
11. Barua hii iliandikwa muhula gani? Wa_____
- AKwanza
- BTatu
- CPili
- DNne
Answer
C. Pili
Tarehe 12-6-2024, mwezi wa Juni: muhula wa pili.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni nani aliyemwandikia mwenzake wa kwanza?Question 12
- Tofauti na dini za Waafrika, ni nini kingine kilichukiza na wakoloni katika utamaduni wetu?Question 13
- Ni mifano mingapi iliyotolewa kuonesha kuwa tuna utamaduni mbalimbali nchini Kenya?Question 14
- Kwa nini nchi ya Kenya haina utamaduni sawa?Question 15
- Chagua jibu sahihi la pengo la 16.Question 16
- Chagua jibu sahihi la pengo la 17.Question 17