CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 25
Andika wingi wa; Mwananchi anangoja hotuba ya rais
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
25. Andika wingi wa;
Mwananchi anangoja hotuba ya rais
- AWananchi wanangoja hotuba ya rais.
- BWananchi wanangoja hotuba za marais.
- CWananchi wanangoja hotuba ya marais
- DWananchi wanangoja mahotuba ya marais
Answer
A. Wananchi wanangoja hotuba ya rais.
Nchi ina rais mmoja: Wananchi wanangoja hotuba ya rais.