CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 20
Chagua jibu sahihi la pengo la 20.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 14) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ufahamu wa Kujaza Pengo
Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze nafasi zilizoachwa wazi katika nambari 16-20 ukitumia majibu yafaayo.
Usafi wa mazingira __16__ jukumu la kila mmoja katika jamii. Mazingira safi __17__ afya bora kwa wakazi wa eneo husika. __18__ taka ovyo huleta harufu mbaya na magonjwa kama kipindupindu. Watoto wanapocheza __19__ mazingira machafu, wako kwenye hatari ya kupata maambukizi. __20__ kuweka mazingira safi, ni muhimu kuwa na sehemu maalum za kutupa taka ili kuweka mazingira iwe safi.
20. Chagua jibu sahihi la pengo la 20.
- AKwa
- BIli
- CKatika
- DKuepuka
Answer
B. Ili
Ili kuweka mazingira safi.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili hiki. Anakuangalia tu wala halali au kutembea.Question 21
- Vumbi liliwafanya wapige ___.Question 22
- Neno jingine lenye maana sawa na ‘ufukara’ niQuestion 23
- Thurea ni kwa nyota kama vile ni ___ kwa magari.Question 24
- Andika wingi wa; Mwananchi anangoja hotuba ya raisQuestion 25
- Pete huvaliwa wapi mwilini?Question 26