CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 7)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · Revision 2026 (Booklet 7) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati, Fasihi Simulizi.
All 30 questions with answers
- Question 1: Nani hakuelewa kuhusu nomino dhahania?Answer: B. Zawadi
- Question 2: Nomino dhahania ni nini?Answer: C. Majina ya vitu visivyoonekana wala kushikika.
- Question 3: Ni ipi kati ya hizi ni nomino dhahania?Answer: C. Furaha
- Question 4: Amani alimsaidiaje Zawadi kuelewa?Answer: B. Kwa kumpa mifano.
- Question 5: Ni ipi kati ya hizi si nomino dhahania?Answer: D. Kiti
- Question 6: Neema alikuwa anatoka wapi?Answer: B. Shuleni
- Question 7: Chumba cha maankuli hutumika kwa nini?Answer: C. Kula
- Question 8: Neema aliweka wapi mkoba wake?Answer: B. Sebuleni
- Question 9: Ni kitu kipi hakipatikani sebuleni?Answer: D. Kitanda
- Question 10: Kwa nini watu hutumia mapambo?Answer: A. Ili kuvutia
- Question 11: Mapambo hutumiwa kwa kuvaa naAnswer: C. kupaka
- Question 12: Ni pambo lipi hutumiwa kwa kupaka?Answer: C. Hina
- Question 13: Wanafunzi walitembelea wapi kujifunza kuhusu mazingira?Answer: B. Msituni
- Question 14: Ni nani alipendekeza kuanzishwa kwa kikundi cha kulinda mazingira?Answer: B. Asha
- Question 15: Wanafunzi walifanya nini kulinda mazingira?Answer: C. Walipanda miti na kukusanya taka
- Question 16: (16)Answer: A. tulifika
- Question 17: (17)Answer: A. tano
- Question 18: (18)Answer: A. kubwa
- Question 19: (19)Answer: B. mmoja
- Question 20: (20)Answer: B. wengi
- Question 21: Kipi ni kiwakilishi kati ya maneno yafuatayo?Answer: B. Wao
- Question 22: Tegua kitendawili. Amefungua jicho jekunduAnswer: A. jua
- Question 23: Chagua neno la upole litakalotumiwa badala ya lililopigwa mstari (liko kwenye mabano). Ukila chakula kichafu (utahara).Answer: B. utaendesha
- Question 24: Kamilisha methali Asiyefunzwa na mamaye ___Answer: B. hufunzwa na ulimwengu
- Question 25: Ipi ni nomino ambata?Answer: B. Kipimajoto
- Question 26: Aria atamwitaje kaka ya mamake?Answer: D. Mjomba
- Question 27: Ni nomino ipi isiyo katika ngeli ya I-ZIAnswer: C. embe
- Question 28: Chagua nahau sahihi kujaza pengo. Tumia hanchifu wakati wa ku___Answer: C. penga kamasi
- Question 29: Andika kitenzi soma katika hali ya kutendeka.Answer: C. Someka
- Question 30: Kisawe cha kandanda ni ___Answer: B. kambumbu