naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 18

(18)

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo

Soma kifungu kifuatacho, kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Sote __16__ katika lango la mbuga ya wanyama la Maasai Mara saa __17__ kamili. Lilionekana kuwa __18__ kuliko lango kuu la shule yetu. Mlinzi __19__ alitukaribisha. Tulienda sehemu tofauti na kuwaona wanyama __20__.

18. (18)

  1. Akubwa
  2. Bkikubwa
  3. Cmkubwa
  4. Dwakubwa

Answer

A. kubwa

Lango (LI-YA) lilionekana kuwa kubwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test