CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Chagua neno la upole litakalotumiwa badala ya lililopigwa mstari (liko kwenye mabano). Ukila chakula kichafu (utahara).
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Msamiati, Tasfida
23. Chagua neno la upole litakalotumiwa badala ya lililopigwa mstari (liko kwenye mabano).
Ukila chakula kichafu (utahara).
- Autajifungua
- Butaendesha
- Cmsalani
- Dhaja ndogo
Answer
B. utaendesha
Kuhara — kuendesha.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha methali Asiyefunzwa na mamaye ___Question 24
- Ipi ni nomino ambata?Question 25
- Aria atamwitaje kaka ya mamake?Question 26
- Ni nomino ipi isiyo katika ngeli ya I-ZIQuestion 27
- Chagua nahau sahihi kujaza pengo. Tumia hanchifu wakati wa ku___Question 28
- Andika kitenzi soma katika hali ya kutendeka.Question 29