CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26
Aria atamwitaje kaka ya mamake?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Msamiati, Ukoo
26. Aria atamwitaje kaka ya mamake?
- ABinadamu
- BShangazi
- CNdugu
- DMjomba
Answer
D. Mjomba
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni nomino ipi isiyo katika ngeli ya I-ZIQuestion 27
- Chagua nahau sahihi kujaza pengo. Tumia hanchifu wakati wa ku___Question 28
- Andika kitenzi soma katika hali ya kutendeka.Question 29
- Kisawe cha kandanda ni ___Question 30
- Nani hakuelewa kuhusu nomino dhahania?Question 1
- Nomino dhahania ni nini?Question 2