CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Andika kitenzi soma katika hali ya kutendeka.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
29. Andika kitenzi soma katika hali ya kutendeka.
- ASomesha
- BSomea
- CSomeka
- DSomewa
Answer
C. Someka
Kutendeka: someka.