CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Kipi ni kiwakilishi kati ya maneno yafuatayo?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
21. Kipi ni kiwakilishi kati ya maneno yafuatayo?
- AImba
- BWao
- CSahani
- DJuma
Answer
B. Wao
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili. Amefungua jicho jekunduQuestion 22
- Chagua neno la upole litakalotumiwa badala ya lililopigwa mstari (liko kwenye mabano). Ukila chakula kichafu (utahara).Question 23
- Kamilisha methali Asiyefunzwa na mamaye ___Question 24
- Ipi ni nomino ambata?Question 25
- Aria atamwitaje kaka ya mamake?Question 26
- Ni nomino ipi isiyo katika ngeli ya I-ZIQuestion 27