naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 17

(17)

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo

Soma kifungu kifuatacho, kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Sote __16__ katika lango la mbuga ya wanyama la Maasai Mara saa __17__ kamili. Lilionekana kuwa __18__ kuliko lango kuu la shule yetu. Mlinzi __19__ alitukaribisha. Tulienda sehemu tofauti na kuwaona wanyama __20__.

17. (17)

  1. Atano
  2. Bwatano
  3. Cmitano
  4. Dmiwili

Answer

A. tano

Saa tano kamili.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test