naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10

Kwa nini watu hutumia mapambo?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 10 hadi 12.
Mapambo ni vitu vinavyovaliwa mwilini ili kufanya mtu awe wa kuvutia. Mapambo huvaliwa katika sehemu mbalimbali za mwili. Kuna mapambo ya kupaka pia. Mapambo hasa hutumiwa mtu anapohudhuria sherehe kama za harusi na kadhalika. Kuna mapambo ya kike na ya kiume. Ushanga huvaliwa sikioni na wanawake. Pete huvaliwa kwenye vidole na wanawake na wanaume. Hina nayo hupakwa mikononi na miguuni. Ni vizuri kuyatumia mapambo ifaavyo.

10. Kwa nini watu hutumia mapambo?

  1. AIli kuvutia
  2. BIli kusafiri
  3. CIli kulala
  4. DIli kuchukiza

Answer

A. Ili kuvutia

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test