CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12
Ni pambo lipi hutumiwa kwa kupaka?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 10 hadi 12.
Mapambo ni vitu vinavyovaliwa mwilini ili kufanya mtu awe wa kuvutia. Mapambo huvaliwa katika sehemu mbalimbali za mwili. Kuna mapambo ya kupaka pia. Mapambo hasa hutumiwa mtu anapohudhuria sherehe kama za harusi na kadhalika. Kuna mapambo ya kike na ya kiume. Ushanga huvaliwa sikioni na wanawake. Pete huvaliwa kwenye vidole na wanawake na wanaume. Hina nayo hupakwa mikononi na miguuni. Ni vizuri kuyatumia mapambo ifaavyo.
12. Ni pambo lipi hutumiwa kwa kupaka?
- AKipuli
- BPete
- CHina
- DUshanga
Answer
C. Hina
Hina hupakwa.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Wanafunzi walitembelea wapi kujifunza kuhusu mazingira?Question 13
- Ni nani alipendekeza kuanzishwa kwa kikundi cha kulinda mazingira?Question 14
- Wanafunzi walifanya nini kulinda mazingira?Question 15
- Kipi ni kiwakilishi kati ya maneno yafuatayo?Question 21
- Tegua kitendawili. Amefungua jicho jekunduQuestion 22
- Chagua neno la upole litakalotumiwa badala ya lililopigwa mstari (liko kwenye mabano). Ukila chakula kichafu (utahara).Question 23