CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
Neema alikuwa anatoka wapi?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 6 hadi 9.
Jioni ilipofika katika kijiji cha Kijani, anga lilipambwa na rangi za macheo zilizong’aa kama dhahabu. Neema alitembea polepole kuelekea nyumbani baada ya siku ndefu shuleni. Alipokaribia nyumbani, alisikia sauti ya mamake akiimba jikoni na harufu ya chakula kitamu ikamfikia, jambo ambalo lilimfanya asahau uchovu wake mara moja. Aliingia sebuleni na kuweka mkoba wake wa vitabu kisha akaenda katika chumba cha maankuli kula. Baba alimkaribisha kwa furaha. Walikila chakula pamoja huku wakicheka.
6. Neema alikuwa anatoka wapi?
- ASokoni
- BShuleni
- CKanisani
- DMtoni
Answer
B. Shuleni
Baada ya siku shuleni.