CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8
Neema aliweka wapi mkoba wake?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 6 hadi 9.
Jioni ilipofika katika kijiji cha Kijani, anga lilipambwa na rangi za macheo zilizong’aa kama dhahabu. Neema alitembea polepole kuelekea nyumbani baada ya siku ndefu shuleni. Alipokaribia nyumbani, alisikia sauti ya mamake akiimba jikoni na harufu ya chakula kitamu ikamfikia, jambo ambalo lilimfanya asahau uchovu wake mara moja. Aliingia sebuleni na kuweka mkoba wake wa vitabu kisha akaenda katika chumba cha maankuli kula. Baba alimkaribisha kwa furaha. Walikila chakula pamoja huku wakicheka.
8. Neema aliweka wapi mkoba wake?
- AKitandani
- BSebuleni
- CJikoni
- DUwanjani
Answer
B. Sebuleni
Aliingia sebuleni.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni kitu kipi hakipatikani sebuleni?Question 9
- Kwa nini watu hutumia mapambo?Question 10
- Mapambo hutumiwa kwa kuvaa naQuestion 11
- Ni pambo lipi hutumiwa kwa kupaka?Question 12
- Wanafunzi walitembelea wapi kujifunza kuhusu mazingira?Question 13
- Ni nani alipendekeza kuanzishwa kwa kikundi cha kulinda mazingira?Question 14