CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 6)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · Revision 2026 (Booklet 6) · 30 questions
Topics: Kusoma, Msamiati, Fasihi Simulizi, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Mahojiano haya, yalifanyika wapi?Answer: C. Hospitalini
- Question 2: Ni kipi si kifaa cha sanduku la huduma ya kwanza?Answer: B. kijiko
- Question 3: Gari ambalo humbeba mgonjwa akielekea hospitalini huitwa?Answer: D. Ambulensi
- Question 4: Daktari husaidiwa kazi na nani?Answer: B. Muuguzi
- Question 5: Huduma ya kwanza husaidia mgonjwa, isipokuwaAnswer: D. kidonda hakiponi
- Question 6: Maarifa ambayo Baraka aliyatumia aliyatoa wapi? (swali kutoka ufahamu wa nne hapo chini)Answer: C. Shuleni
- Question 7: Ni sehemu gani ya mwili wa ndege inayomsaidia kupata joto?Answer: C. Manyoya
- Question 8: Kwa nini ndege hujenga viota juu ya miti au nyasi ndefu?Answer: A. Ili kulinda mayai na vitaranga wao
- Question 9: Taja sifa moja ya mbuni ilivyoelezwa katika ufahamu.Answer: B. Kukimbia kwa kasi ajabu akitumia miguu
- Question 10: Kichwa kinachofaa ufahamu huu ni kipi?Answer: D. Ndege wa Porini
- Question 11: Ni kipi hakikutumika kutengeneza mapambo ya asili.Answer: D. vyuma
- Question 12: Kulingana na ufahamu, ni mambo gani yametajwa kuwa pambo kuu la kudumu?Answer: D. Usafi wa mwili na tabia njema
- Question 13: Chagua mapambo ya kisasa peke yake.Answer: A. Vipuli na mkufu
- Question 14: Ni nini maana ya msemo “kukata tamaa”?Answer: A. Kupoteza matumaini
- Question 15: Kwa jumla, ufahamu huu unazungumzia nini?Answer: D. Kukabiliana na umaskini
- Question 16: (16)Answer: B. ya
- Question 17: (17)Answer: A. kikuu
- Question 18: (18)Answer: C. mwilini
- Question 19: (19)Answer: D. unaoambukizwa
- Question 20: (20)Answer: B. matibabu
- Question 21: Chagua nomino ya kipekee katika maneno yafuatayoAnswer: C. Jumapili
- Question 22: Jina ‘makiwa’ hutumiwa vipi?Answer: A. Kumpa mtu pole aliyefiwa
- Question 23: Andika sentensi hii katika umoja Nyumba hizi zinajengwaAnswer: B. Nyumba hii inajengwa
- Question 24: Kamilisha nomino hii ya makundi. baraza la ___Answer: D. wazee
- Question 25: Kamilisha tashbihi. Maria ana maringo kama ___Answer: B. tausi
- Question 26: Ni sentensi ipi ni sahihi:Answer: D. Uta mrefu umekatika.
- Question 27: Tambua nomino ambayo si ya dhahania.Answer: D. nyota
- Question 28: Kamilisha methali. Tamaa mbele mauti ___Answer: A. nyuma
- Question 29: Jina ugonjwa liko kwenye ngeli gani?Answer: A. U-YA
- Question 30: Majina haya ni visawe vya pesa, isipokuwa ___Answer: A. doo