CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Chagua nomino ya kipekee katika maneno yafuatayo
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
21. Chagua nomino ya kipekee katika maneno yafuatayo
- AMtu
- BRula
- CJumapili
- DKalamu
Answer
C. Jumapili
Jina la siku.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Jina ‘makiwa’ hutumiwa vipi?Question 22
- Andika sentensi hii katika umoja Nyumba hizi zinajengwaQuestion 23
- Kamilisha nomino hii ya makundi. baraza la ___Question 24
- Kamilisha tashbihi. Maria ana maringo kama ___Question 25
- Ni sentensi ipi ni sahihi:Question 26
- Tambua nomino ambayo si ya dhahania.Question 27