CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Kamilisha nomino hii ya makundi. baraza la ___
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Msamiati, Nomino za Makundi
24. Kamilisha nomino hii ya makundi.
baraza la ______
- Awanafunzi
- Bwalimu
- Cmaseneta
- Dwazee
Answer
D. wazee
Baraza la wazee.