CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Jina ugonjwa liko kwenye ngeli gani?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
29. Jina ugonjwa liko kwenye ngeli gani?
- AU-YA
- BU-I
- CU-ZI
- DYA-YA
Answer
A. U-YA
Ugonjwa/magonjwa.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Majina haya ni visawe vya pesa, isipokuwa ___Question 30
- Mahojiano haya, yalifanyika wapi?Question 1
- Ni kipi si kifaa cha sanduku la huduma ya kwanza?Question 2
- Gari ambalo humbeba mgonjwa akielekea hospitalini huitwa?Question 3
- Daktari husaidiwa kazi na nani?Question 4
- Huduma ya kwanza husaidia mgonjwa, isipokuwaQuestion 5