naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 3

Gari ambalo humbeba mgonjwa akielekea hospitalini huitwa?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Msamiati

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 1 hadi 5.
Mgonjwa: Habari daktari? Nimepata ajali ndogo na nimeumia mkono.
Daktari: Pole sana. Je, umetumia dawa au vifaa vyovyote kutoka kwenye sanduku la huduma ya kwanza?
Mgonjwa: Ndio daktari. Kwanza nilitumia pamba na dawa ya kuua viini kusafisha kidonda changu.
Daktari: Hatua nzuri sana. Je, uliweza kuzuia damu isivuje kwa wingi?
Mgonjwa: Nilifunga kidonda kwa bendeji.
Daktari: Umefanya kazi bora. Sasa nitakupa matibabu zaidi.

3. Gari ambalo humbeba mgonjwa akielekea hospitalini huitwa?

  1. ABasi
  2. BGari dogo
  3. CPikipiki
  4. DAmbulensi

Answer

D. Ambulensi

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test