CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
Huduma ya kwanza husaidia mgonjwa, isipokuwa
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Kusoma, Huduma ya Kwanza
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 1 hadi 5.
Mgonjwa: Habari daktari? Nimepata ajali ndogo na nimeumia mkono.
Daktari: Pole sana. Je, umetumia dawa au vifaa vyovyote kutoka kwenye sanduku la huduma ya kwanza?
Mgonjwa: Ndio daktari. Kwanza nilitumia pamba na dawa ya kuua viini kusafisha kidonda changu.
Daktari: Hatua nzuri sana. Je, uliweza kuzuia damu isivuje kwa wingi?
Mgonjwa: Nilifunga kidonda kwa bendeji.
Daktari: Umefanya kazi bora. Sasa nitakupa matibabu zaidi.
5. Huduma ya kwanza husaidia mgonjwa, isipokuwa
- Akuzuia damu isivuje
- Bhuzui kifo
- Ckupunguza maumivu
- Dkidonda hakiponi
Answer
D. kidonda hakiponi
Huduma ya kwanza husaidia kidonda kupona.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Maarifa ambayo Baraka aliyatumia aliyatoa wapi? (swali kutoka ufahamu wa nne hapo chini)Question 6
- Ni sehemu gani ya mwili wa ndege inayomsaidia kupata joto?Question 7
- Kwa nini ndege hujenga viota juu ya miti au nyasi ndefu?Question 8
- Taja sifa moja ya mbuni ilivyoelezwa katika ufahamu.Question 9
- Kichwa kinachofaa ufahamu huu ni kipi?Question 10
- Ni kipi hakikutumika kutengeneza mapambo ya asili.Question 11