CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Andika sentensi hii katika umoja Nyumba hizi zinajengwa
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
23. Andika sentensi hii katika umoja
Nyumba hizi zinajengwa
- ANyumba hizi inajengwa
- BNyumba hii inajengwa
- CNyumba hii zinajengwa
- DNyumba hiyo inajengwa
Answer
B. Nyumba hii inajengwa
N-N: nyumba hii inajengwa.