naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22

Jina ‘makiwa’ hutumiwa vipi?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Msamiati, Maneno ya Adabu

22. Jina ‘makiwa’ hutumiwa vipi?

  1. AKumpa mtu pole aliyefiwa
  2. BKumwamkua mtu wakati wa asubuhi
  3. CMaagano ya kuachana
  4. DTamko la kumtakia mtu heri na salama

Answer

A. Kumpa mtu pole aliyefiwa

Pole kwa msiba.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test