CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
Kamilisha tashbihi. Maria ana maringo kama ___
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Fasihi Simulizi, Tashbihi
25. Kamilisha tashbihi.
Maria ana maringo kama ______
- Akinyonga
- Btausi
- Cmwanamke
- Dnjiwa
Answer
B. tausi
Maringo kama tausi.