naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 18

(18)

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo

Jaza pengo ukitumia jibu lifaalo zaidi kutokana na majibu uliyopewa.
Magonjwa __16__ kuambukizana ni kama vile kipindupindu na kifua __17__. Ikiwa sukari ni nyingi __18__, nina ugonjwa wa kisukari. Ugonjwa __19__ na mbu huitwa malaria. Ukihisi dalili zozote, tembelea kituo cha __20__.

18. (18)

  1. Anyumbani
  2. Bmguuni
  3. Cmwilini
  4. Ddukani

Answer

C. mwilini

Sukari nyingi mwilini.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test