CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 1)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · Revision 2026 (Booklet 1) · 30 questions
Topics: Fasihi Simulizi, Kusoma, Msamiati, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: … umechoka sana kama punda wa dobi ni mfano waAnswer: B. tashbihi
- Question 2: Ni kweli kusema kuwaAnswer: A. Kaka alipenda ukulima
- Question 3: Pato alitaka kwenda wapi?Answer: D. Marekani
- Question 4: Chagua neno lenye maana sawa na Mungu.Answer: C. Mola
- Question 5: Chagua maagano ambayo Pato alitumia.Answer: A. Buriani
- Question 6: Kulingana na aya ya kwanza ni kweliAnswer: B. msimulizi hutembelea bibi yake
- Question 7: Andika zao moja ambalo hupandwa na babu wa msimulizi.Answer: Mihindi
- Question 8: Bibi wa msimulizi hupenda mchicha kwa kuwa ___Answer: una madini ambayo huwezesha afya kuwa bora
- Question 9: Msimulizi ana sungura wangapi weusi?Answer: Wawili
- Question 10: Ni chakula kipi huandaliwa kwa kuchanganya mahindi na maharagwe?Answer: D. Pure
- Question 11: Kati ya vyakula vilivyotajwa, ni kipi huwa kinywaji?Answer: A. Uji
- Question 12: Chagua tunda kati ya vyakula hivi.Answer: B. Parachichi
- Question 13: Baba wa msimulizi alinunua unga pesa ngapi?Answer: Shilingi mia mbili
- Question 14: Ni kwa nini babaye msimulizi alihema?Answer: B. Bidhaa kuwa bei ghali
- Question 15: Babaye msimulizi alimsihi kufanya nini?Answer: Kusoma kwa bidii
- Question 16: (16)Answer: B. langu
- Question 17: (17)Answer: A. la
- Question 18: (18)Answer: C. ambayo
- Question 19: (19)Answer: A. lina
- Question 20: (20)Answer: C. wanane
- Question 21: Kamilisha: ___ ni mtoto mtiifu. (Wewe, Nyinyi, Mimi, Yeye)Answer: Yeye
- Question 22: Chagua neno lililo katika ngeli ya A-WAAnswer: D. Ndege
- Question 23: Chagua jibu lililo tofauti na maneno mengine.Answer: A. Kondoo
- Question 24: Kanusha sentensi hii: Ninacheza.Answer: D. Sichezi
- Question 25: Chagua nomino katika sentensi hii Mnyama hatari huogofya watu wengi.Answer: B. mnyama
- Question 26: Andika mfano mmoja wa kitenzi.Answer: cheza
- Question 27: Andika wingi wa sentensi hii: Mkono unauma.Answer: Mikono inauma.
- Question 28: Andika vokali moja ya Kiswahili.Answer: a
- Question 29: Tegua kitendawili hiki: Mzungu kasimama kwa mguu mmoja.Answer: Uyoga
- Question 30: Andika kifaa kimoja cha kidijitali.Answer: Simu