CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Kanusha sentensi hii: Ninacheza.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
24. Kanusha sentensi hii: Ninacheza.
- ASijacheza
- BSikucheza
- CSitacheza
- DSichezi
Answer
D. Sichezi
-na- hukanushwa kwa si-…-i.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino katika sentensi hii Mnyama hatari huogofya watu wengi.Question 25
- Andika mfano mmoja wa kitenzi.Question 26
- Andika wingi wa sentensi hii: Mkono unauma.Question 27
- Andika vokali moja ya Kiswahili.Question 28
- Tegua kitendawili hiki: Mzungu kasimama kwa mguu mmoja.Question 29
- Andika kifaa kimoja cha kidijitali.Question 30