CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Chagua jibu lililo tofauti na maneno mengine.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Msamiati, Wanyama
23. Chagua jibu lililo tofauti na maneno mengine.
- AKondoo
- BNdovu
- CFisi
- DSimba
Answer
A. Kondoo
Kondoo ni mnyama wa kufugwa; wengine ni wa porini.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi hii: Ninacheza.Question 24
- Chagua nomino katika sentensi hii Mnyama hatari huogofya watu wengi.Question 25
- Andika mfano mmoja wa kitenzi.Question 26
- Andika wingi wa sentensi hii: Mkono unauma.Question 27
- Andika vokali moja ya Kiswahili.Question 28
- Tegua kitendawili hiki: Mzungu kasimama kwa mguu mmoja.Question 29