CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
Chagua nomino katika sentensi hii Mnyama hatari huogofya watu wengi.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
25. Chagua nomino katika sentensi hii
Mnyama hatari huogofya watu wengi.
- Awengi
- Bmnyama
- Chatari
- Dhuogofya
Answer
B. mnyama
Mnyama ni jina.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika mfano mmoja wa kitenzi.Question 26
- Andika wingi wa sentensi hii: Mkono unauma.Question 27
- Andika vokali moja ya Kiswahili.Question 28
- Tegua kitendawili hiki: Mzungu kasimama kwa mguu mmoja.Question 29
- Andika kifaa kimoja cha kidijitali.Question 30
- … umechoka sana kama punda wa dobi ni mfano waQuestion 1