CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 14
Ni kwa nini babaye msimulizi alihema?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 13 hadi la 15.
Jana jioni baba alienda dukani. Alinunua sukari kwa shilingi mia moja hamsini na unga wa ngano kwa shilingi mia mbili. Aliporejea nyumbani alikuwa anatokwa na kichasho chembamba. Alipoulizwa na mama kwa nini anahema. Alisema vitu vimekuwa ghali mno.
Mama alimsihi atulie ampe maji. Ilibidi nimweleze baba kuwa mambo yamebadilika. Vitu vimekuwa ghali kwa sababu viongozi hawajali wananchi.
Baba alitusihi tusome kwa bidii ili siku za usoni tuchague viongozi wazuri. Maisha yanaweza kuwa mepesi tu kwa kuwa na elimu bora na viongozi wema. Alitupa mifano ya viongozi waliosoma kwa bidii na wema. Alituonyesha sinema zinazoonyesha kutii walimu na kuwa na bidii. Nakumbuka siku moja babu alipotutembelea alitueleza kuwa teknolojia itazidi kubadilika na kunawiri. Maisha nayo yatabadilika ikimlazimu mwanadamu naye awe mwenye kujielimisha kila siku.
14. Ni kwa nini babaye msimulizi alihema?
- AKubeba mizigo
- BBidhaa kuwa bei ghali
- CKuhisi kiu cha maji
- DMambo kubadilika
Answer
B. Bidhaa kuwa bei ghali
"vitu vimekuwa ghali mno".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Babaye msimulizi alimsihi kufanya nini?Question 15
- Kamilisha: ___ ni mtoto mtiifu. (Wewe, Nyinyi, Mimi, Yeye)Question 21
- Chagua neno lililo katika ngeli ya A-WAQuestion 22
- Chagua jibu lililo tofauti na maneno mengine.Question 23
- Kanusha sentensi hii: Ninacheza.Question 24
- Chagua nomino katika sentensi hii Mnyama hatari huogofya watu wengi.Question 25