naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15

Babaye msimulizi alimsihi kufanya nini?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 13 hadi la 15.
Jana jioni baba alienda dukani. Alinunua sukari kwa shilingi mia moja hamsini na unga wa ngano kwa shilingi mia mbili. Aliporejea nyumbani alikuwa anatokwa na kichasho chembamba. Alipoulizwa na mama kwa nini anahema. Alisema vitu vimekuwa ghali mno.
Mama alimsihi atulie ampe maji. Ilibidi nimweleze baba kuwa mambo yamebadilika. Vitu vimekuwa ghali kwa sababu viongozi hawajali wananchi.
Baba alitusihi tusome kwa bidii ili siku za usoni tuchague viongozi wazuri. Maisha yanaweza kuwa mepesi tu kwa kuwa na elimu bora na viongozi wema. Alitupa mifano ya viongozi waliosoma kwa bidii na wema. Alituonyesha sinema zinazoonyesha kutii walimu na kuwa na bidii. Nakumbuka siku moja babu alipotutembelea alitueleza kuwa teknolojia itazidi kubadilika na kunawiri. Maisha nayo yatabadilika ikimlazimu mwanadamu naye awe mwenye kujielimisha kila siku.

15. Babaye msimulizi alimsihi kufanya nini?

Answer

Kusoma kwa bidii

"Baba alitusihi tusome kwa bidii".

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test