CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12
Chagua tunda kati ya vyakula hivi.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Vyakula
Wanafunzi wa gredi ya tano waliandika jedwali ambalo lilionyesha aina mbalimbali za vyakula. Tazama jedwali hili kisha ujibu maswali.
VYAKULA MBALIMBALI
Pure, wali, chai
Uji, juisi, maziwa
Nanasi, embe, parachichi
Chapati, nyama, mayai
12. Chagua tunda kati ya vyakula hivi.
- AChai
- BParachichi
- CNyama
- DJuisi
Answer
B. Parachichi
Parachichi ni tunda.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Baba wa msimulizi alinunua unga pesa ngapi?Question 13
- Ni kwa nini babaye msimulizi alihema?Question 14
- Babaye msimulizi alimsihi kufanya nini?Question 15
- Kamilisha: ___ ni mtoto mtiifu. (Wewe, Nyinyi, Mimi, Yeye)Question 21
- Chagua neno lililo katika ngeli ya A-WAQuestion 22
- Chagua jibu lililo tofauti na maneno mengine.Question 23