naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11

Kati ya vyakula vilivyotajwa, ni kipi huwa kinywaji?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Vyakula

Wanafunzi wa gredi ya tano waliandika jedwali ambalo lilionyesha aina mbalimbali za vyakula. Tazama jedwali hili kisha ujibu maswali.
VYAKULA MBALIMBALI
Pure, wali, chai
Uji, juisi, maziwa
Nanasi, embe, parachichi
Chapati, nyama, mayai

11. Kati ya vyakula vilivyotajwa, ni kipi huwa kinywaji?

  1. AUji
  2. BMayai
  3. CChapati
  4. DNanasi

Answer

A. Uji

Uji hunywewa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test